6 Februari 2026 - 14:34
Mlipuko wa Kigaidi katika Husseiniyah ya Waislamu wa Madhehebu ya Shia Ithna Ashari, Watokae Katika Jiji Kuu la Pakistan +Video

Tukio hili linaashiria hatari ya vitendo vya kigaidi vinavyolenga maeneo ya kidini na wakazi wa amani. Serikali na vyombo vya usalama vipo katika eneo hilo kuchunguza chanzo na kuhakikisha usalama wa raia.

Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Ripoti zinadai kuwa mlipuko umejitokeza katika moja ya vituo vya kidini vya Waislamu wa Shia mjini Islamabad, mji mkuu wa Pakistan.

Tukio hili limetokea mchana huu sambamba na ibada ya Sala ya Ijumaa, na kulingana na taarifa za awali, idadi ya waumini wamejeruhiwa.

Your Comment

You are replying to: .
captcha